• HABARI MPYA

  Wednesday, December 21, 2022

  RAIS YANGA ASEMA WATASAJILI NYOTA KUBORESHA KIKOSI

  RAIS wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said amesema klabu yake itasajili nyota kadhaa kuboresha kikosi kuelekea hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS YANGA ASEMA WATASAJILI NYOTA KUBORESHA KIKOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top