• HABARI MPYA

  Saturday, December 10, 2022

  MOROCCO YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA


  TIMU ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ureno leo Uwanja wa Al Thumama Jijini Doha.
  Bao pekee la Simba wa Atlasi katika mchezo huo limefungwa na Youssef En-Nesyri dakika ya 42 na sasa Morocco ambayo inakuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia itakutana na Ufaransa iliyoitoa England kwa kuichapa 2-1.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOROCCO YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top