• HABARI MPYA

  Wednesday, December 28, 2022

  YANGA SC YATUMA BARUA AZAM FC KUWATAKA AKAMINKO NA KIPRE


  KLABU ya Yanga SC imewasilisha barua kuomba kumsajili kiungo Mghana, James Akaminko na winga Muivory Coast Kipre Junior wote wa Azam FC.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YATUMA BARUA AZAM FC KUWATAKA AKAMINKO NA KIPRE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top