• HABARI MPYA

  Sunday, December 11, 2022

  YANGA PRINCESS YAMPIGA CHINI EDNA, YAMCHUKUA KOCHA WA SIMBA QUEENS


  KLABU ya Yanga Princess imemtambulisha aliyekuwa Kocha wa Simba Queens, Sebastian Nkoma kuanza kuinoa timu hiyo akichukua nafasi ya Edna Lema aliyeondolewa.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA PRINCESS YAMPIGA CHINI EDNA, YAMCHUKUA KOCHA WA SIMBA QUEENS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top