• HABARI MPYA

  Saturday, December 10, 2022

  SIMBA YASHINDA 8-0 KOMBE LA TFF, PHIRI APIGA NNE


  TIMU ya Simba imefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 8-0 dhidi ya Eagle FC leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na washambuliaji Habib Kyombo dakika ya 10, Mzambia Moses Phiri manne dakika za 15 kwa penalti, 18, 24 na 20 na mengine yamefungwa na viungo, Msenegal Pape Ousmane Sakho dakika ya 28 na Mzambia Clatous Chama mawili dakika ya 32 na 74.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YASHINDA 8-0 KOMBE LA TFF, PHIRI APIGA NNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top