• HABARI MPYA

  Thursday, December 08, 2022

  COPCO UNITED YAITOA SILENT OCEAN ASFC

  TIMU ya COPPO Veteran FC ya Mwanza imesonga mbele Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kufuatia ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Silent Ocean FC leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COPCO UNITED YAITOA SILENT OCEAN ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top