• HABARI MPYA

  Friday, December 02, 2022

  KANOUTE NDIYE MCHEZAJI BORA WA SIMBA NOVEMBA


  KIUNGO wa Kimataifa wa Mali, Sadio Kanoute ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki mwezi Novemba akiwaanvusha wazawa, beki Shomari Kapombe na kiungo Muzamil Yassin.
  Kwa ushindi huo, Kanoute aliye katika msimu wake wa pili Simba SC atakabidhiwa zawadi ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANOUTE NDIYE MCHEZAJI BORA WA SIMBA NOVEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top