• HABARI MPYA

  Wednesday, December 21, 2022

  KABURU, MANGUNGU WAITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI SIMBA SC


  MWENYEKITI wa sasa wa Simba SC, Murtaza Ally Mangungu pamoja na Makamu Mwenyekiti wa zamani, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ ni miongoni mwa wagombea walioitwa kwenye usaili kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa klabu mapema mwakani.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KABURU, MANGUNGU WAITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top