BEKI Mkenya, Joash Onyango (kushoto) na kiungo Mmalawi, Duncan Nyoni wakati wa safari ya kwendaleo Jijini Arusha jioni ya leo kuendelea na kambi ya kujiandaa na msimu mpya utakaozinduliwa kwa tamasha la Simba Day Septemba 19 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment