Mabondia Deontay Wilder wa Marekani na Tyson Fury wa Uingereza wakitambiana Alfajiri ya leo katika mkutano na Waandishi wa Habari mjini Los Angeles kuelekea pambano lao la Desemba 1, mwaka huu ukumbi wa Staples Center mjini humo. Wawili hao walitaka kupigana baada ya kuudhiana kwa kauli, kabla ya kutenganishwa na walinzi waoPICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFIU warns terror financiers using women, dead persons to conceal illicit
funds
-
Nigerian Financial Intelligence Unit (NFIU) has uncovered emerging tactics
allegedly being deployed by terrorism financiers to conceal the identities
of ...
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment