Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 23 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Valencia kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Mestalla mjini Valencia, kufuatia Ezequiel Garay kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya pili tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saints reportedly sign former Raiders two-time All-Pro kicker
-
This is an interesting addition for the Saints kicking competition.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment