Nyota wa Arsenal, Danny Welbeck akiwa mazoezini na klabu yake leo viwanja vya Colney, London baada ya kurejea kufuatia kupona maumivu ya nyama za paja aliyoyapata mwezi uliopita katika mchezo dhidi ya Watford. Arsenal itamenyana na Tottenham Hotspur Jumamosi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Accra United CEO aims at Middle League qualification
-
Accra United Sporting Club Chief Executive Stephanie Sedinam Quarshie is
confident that her team has the potential to qualify for the middle league
promoti...
54 minutes ago
0 comments:
Post a Comment