Wachezaji majeruhi wa Yanga, mshambuliaji Mrundi, Amissi Tambwe (kushoto) na kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko wakizungumza leo asubuhi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam wakati wenzake wanaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Singida United Jumamosi
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment