Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Uruguay dakika za 60 na 76 wakiilaza Bolivia 4-2 katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini jana Uwanja wa Centenario mjini Montevideo. Mabao mengine ya Uruguay inayokata tiketi ya Urusi mwakani yalifungwa na Martin Caceres dakika ya 39 na Edinson Cavani dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment