• HABARI MPYA

  Wednesday, October 11, 2017

  HAT TRICK YA MESSI YAIPELEKA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA

  Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kufunga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 12, 20 na 62 na kuisaidia Argentina kutoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya wenyeji, Ecuador Uwanja wa Olimpiki Atahualpa mjini Quito, hivyo kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAT TRICK YA MESSI YAIPELEKA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top