• HABARI MPYA

  Friday, October 06, 2017

  NEYMAR AKOSA BAO LA WAZI, BRAZIL YATOA SARE 0-0

  Kipa wa Bolivia, Lampe (kulia) akizuia mchomo wa papo kwa papo wa Neymar (kushoto) wa Brazil katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia jana kwa kanda ya Amerika Kusini Uwanja wa Hernando Siles mjini La Paz timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Hata hivyo, Brazil imekwishajihakikishia tiketi ya Urusi mwakani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AKOSA BAO LA WAZI, BRAZIL YATOA SARE 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top