• HABARI MPYA

  Saturday, October 07, 2017

  ITALIA YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI, 1-1 NA MACEDONIA

  Beki wa Italia, Davide Zappacosta anayechezea Chelsea (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya Ferhan Hasani wa Macedonia katika mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki Grande Torino mjini Torino timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Italia walitangulia kwa bao la Giorgio Chiellini dakika ya 40, kabla ya Aleksandar Trajkovski kuwasawazishia wageni dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI, 1-1 NA MACEDONIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top