// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MASHABIKI HISPANIA WAENDELEA KUMNYIMA RAHA PIQUE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MASHABIKI HISPANIA WAENDELEA KUMNYIMA RAHA PIQUE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Saturday, October 07, 2017

  MASHABIKI HISPANIA WAENDELEA KUMNYIMA RAHA PIQUE

  Mashabiki wa Hispania wakiwa wamebeba bango la kumkandia beki wa timu yao na klabu ya Barcelona, Gerard Pique kufuatia tetesi za kuachana na mpenzi wake, mwanamuziki Shakira. Pique amejikuta anageuka adui wa mashabiki wa soka Hispania kutokana na kuunga mkono wazi Katalunya kujitenga PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI HISPANIA WAENDELEA KUMNYIMA RAHA PIQUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top