Mshambuliaji Wayne Rooney akishangilia baada ya kufunga bao lake la 249 Manchester United na kuifikia rekodi ya gwiji Sir Bobby Charlton aliyekuwa anaongoza kwa kuwafungia mabao mengi Mashetrani hao Wekundu. Rooney alifunga bao hilo dakika ya saba katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Reading kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Anthony Martial dakika ya 15 na Marcus Rashford mawili dakika za 75 na 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment