Cristiano Ronaldo (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid dakika ya 27 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Granada leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Isco dakika ya 12 na 32, Benzema dakika ya 21 na Casemiro dakika ya 58. Kwa ushindi huo, Real pamoja na kuifikia rekodi ya Barcelona kucheza mechi 39 bila kufungwa, sasa inaongoza ligi kwa pointi sita zaidi dhidi ya Barca wanaocheza kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment