Mshambuliaji Ahmed Musa akishangilia baada ya kuifungia Leicester City mabao mawili dakika za 66 na 71 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji Everton katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA leo Uwanja wa Goodison Park. Everton ilitangulia kwa bao la Romelu Lukaku dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment