Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 89 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Preston North End Uwanja wa Deepdale, Preston kwenye mchezo wa Kombe la FA England Raundi ya Tatu. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Aaron Ramsey dakika ya 46, wakati bao la Preston limefungwa na Callum Robinson dakika ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment