Kiungo Marouane Fellaini akimkumbatia kwa furaha kocha wake, Jose Mourinho benchi baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 87 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Hull City kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England Uwanja wa Old Trafford usiku wa jana. Bao la kwanza la United lilifungwa na Juan Mata dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment