Winga wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik (kulia) akiwa na mchezaji mwenzake, Msenegali Younus jana mjini Santa Cruz de Tenerife, Tenerife, visiwa vya Canary nchini Hispania
Farid Mussa (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzake mwingine wa Tenerife
Farid yupo kwa mkopo Tenerife kutoka Azam FC ya Tanzania






.png)
0 comments:
Post a Comment