Meli ya kubeba abiria na magari, Azam Sea Link 2 itakayokuwa ikifanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Zanzibar ikiwa maeneo ya Bandari ya Zanzibar baada ya kuwasili nchini tayari kuanza kazi. Meli mali ya kampuni ya Bakhresa Group Limited, wamiliki wa klabu ya Azam FC pia, inaungana na Azam Sea Link 1 hivyo kufanya safari za abiria na magari yao kati ya Dar es Salaam na Zanzibar kuongezeka
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment