• HABARI MPYA

    Tuesday, December 13, 2016

    SIMBA NA MTIBWA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Mshambuliaji wa Simba, Frederick Blagnon kutoka Ivory Coast (kulia) akiruka kupiga mpira kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Jaffar Salum katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
    Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimiliki mpira mbele ya Jaffar Salum wa Mtibwa Sugar
    Kiungo wa Mtibwa Sugar, Mohammed Issa (kushoto) akimiliki mpira mbele ya kiungo aliye majaribioni Simba, James Kotei
    Beki wa Simba, Method Mwanjali (kulia) akimdhibiti Jaffar Salum wa Mtibwa Sugar
    Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohammed (kulia) akirukia mpira kichwani mwa kiungo wa Simba, Mussa Ndusha
    Kiungo wa Mtibwa Sugar, Henry Joseph (kulia) akipitisha pasi mbele ya kiungo wa Simba, Shizza Kichuya
    Kiungo wa Simba, Mussa Ndusha (kulia) akikimbilia mpira dhidi ya kiungo wa Mtibwa, Kelvin Friday
    Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Stahmili Mbonde akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala'
    Kikosi ch Simba SC jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
    Kikosi ch Mtibwa Sugar jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA MTIBWA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top