Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kulia) akijaribu kumpiga chenga mchezaji wa Sassuolo katika mchezo wa Kundi F michuano ya Europa League jana Uwanja wa Mapei, Citta del Tricolore mjini Reggio nell'Emilia, Italia. Genk ilishinda 2-0
Samatta akiwania mpira wa juu dhidi ya mchezaji wa Sassulo
Samatta akimpongeza kiungo Mbelgiji, Bryan Heynen baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 58
0 comments:
Post a Comment