Mshambuliaji Divock Origi akikimbia na mpira kuurudisha katia uanze tena, baada ya kuifungia bao la kusawazisha Liverpool dakika ya 48 katika sare ya 2-2 na West Ham United Uwanja wa Anfield Jumapili kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Adam Lallana dakika ya tano wakati ya Spurs yalifungwa na Dimitri Payet dakika ya 27 na Michail Antonio dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment