Mwanzo > YANGA > JUSTINE ZULLU ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA YANGA JUSTINE ZULLU ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC Kiungo Mzambia, Justine Zullu akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga SC leo Dar es Salaam. Kiungo huyo wa zamani wa Zesco Unitd anakuja kuungana na kocha wake wa zamani, George Lwandamina Thursday, December 01, 2016 HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA YANGA
0 comments:
Post a Comment