Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 88 ikiilaza 2-1 Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Kiungo Paul Pogba alianza kuifungia United dakika ya 45 na ushei, kabla ya James McArthur kuisawazishia Palace dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment