Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Kassim Dewji (kushoto) akiushuhudia kwa makini mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Wengine ni wadau wakubwa wa klabu hiyo, Crescentius Magori (kulia) na Richard Ndassa (katikati). Simba ilifungwa 2-1 leo
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment