Kocha Mfaransa wa Arsenal, Arsene Wenger akiufuatilia kwa hasira mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England dhidi ya Southampton iliyoshinda 2-0 usikju wa jana Uwanja wa Emirates, mabao ya Jordy Clasie na Ryan Bertrand, yanayoipeleka Nusu Fainali timu hiyo ambako watamenyana na Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment