Beki wa Everton, Ashley Williams akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi timu yake dakika ya 86 ikiilaza Arsenal 2-1 usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park. Alexis Sanchez alitangulia kuifungia The Gunners dakika ya 20 kabla ya Seamus Coleman kuisawazishia Toffees dakika ya 44. Everton ilimaliza pungufu baada ya Nahodha wake, Phil Jagielka kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 93 kufuatia kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hooked after an hour - did Vuskovic boost his Spurs chances?
-
Many Tottenham fans will have got a first glimpse of Luka Vuskovic last
night - so what can they expect from the highly sought-after defender?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment