YANGA SC SAFARINI ZANZIBAR LEO KUFUATA KOMBE LA MAPINDUZI
Kiungo Mzimbabwe wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akiwa na wachezaji wenzake kwenye boti wakati wa safari ya kwenda Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi leo, michuano ambayo inaanza Jumapili visiwani humo.
Meneja wa Yanga SC, Hafidh Saleh (kushoto) akiwa na wachezaji wake kwenye boti
0 comments:
Post a Comment