• HABARI MPYA

    Sunday, December 06, 2015

    SIMBA SC ILIYOWEKA REKODI AFRIKA AMBAYO 'SIJUI LINI ITAVUNJWA'

    Kikosi cha Simba SC mwaka 1993 ambacho kiliweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza na pekee hadi sasa kufika fainali ya michuano ya kikombe Afrika, baada ya kufika fainali ya Kombe la CAF, ambalo sasa limeunganishwa na Kombe la Washindi na kuwa Kombe la Shirikisho Afrika. Ni lini rekodi hii itavunjwa nchini?  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC ILIYOWEKA REKODI AFRIKA AMBAYO 'SIJUI LINI ITAVUNJWA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top