![]() |
Ibrahim Hajib (kulia) amefunga mabao mawili leo Simba SC ikishinda 5-2 |
Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na Ibrahim Hajib dakika ya 14 na 46, Danny Lyanga dakika ya 32, Nahodha Mussa hassan Mgosi dakika ya 38 na Haji Ugando.
Baada ya mchezo huo, kocha wa Simba SC, Muingereza Dylan alisema kwamba mchezo ulikuwa mzuri na akawapongeza wachezaji wake.
"Tunazitumia mechi hizi katika kuboresha kikosi chetu kuondoa sehemu ambazo timu yetu ilikuwa na changamoto mbalimbali lakini pia katika kuwajaribu wachezaji ambao wanendelea kufanya majaribio katika kikosi chetu,".
0 comments:
Post a Comment