• HABARI MPYA

    Saturday, December 05, 2015

    ARNAUTOVIC APIGA ZOTE MBILI, MAN CITY YAKUNG'UTWA 2-0 NA STOKE CITY ENGLAND

    Nyota wa Stoke City, Marko Arnautovic akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City Uwanja wa Britannia jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARNAUTOVIC APIGA ZOTE MBILI, MAN CITY YAKUNG'UTWA 2-0 NA STOKE CITY ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top