• HABARI MPYA

    Tuesday, September 01, 2015

    CHELSEA YASAINI BEKI LA SENEGAL MIAKA MINNE, LILIKUWA LINAKIPIGA UFARANSA

    BEKI wa kimataifa wa Senegal, Papy Djilobodji amesaini Mkataba wa miaka minne kujiunga na Chelsea kutoka Nantes ya Ufaransa kwa ada ya Pauni Milioni 3.
    Mabingwa wa Ligi Kuu ya England, wamemsaini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 baada ya mpango wao wa kumcbhukua beki wa Everton, John Stones kushindikana tena.
    Chelsea imeruhusu mabao tisa kutinga nyavuni mwake katika mechi nne na kupoteza pointi nne hivyo kujikuta wanazidiwa pointi nane na vinara Manchester City. 
    Beki wa Senegal, Papy Djilobodji amesaini Mkataba wa miaka minne kujiunga na Chelsea kutoka Nantes  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YASAINI BEKI LA SENEGAL MIAKA MINNE, LILIKUWA LINAKIPIGA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top