• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 25, 2015

  MIDO LA YANGA SC THABANI KAMUSOKO KATIKA TABASAMU LA USHINDI KUELEKEA PAMBANO NA SIMBA SC KESHO TAIFA

  Kiungo Mzimbabwe wa Yanga SC, Thabani Scara Kamusoko akitabsamu kambini kwao, Pemba ambako wametulia wakijiandaa na pambano dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MIDO LA YANGA SC THABANI KAMUSOKO KATIKA TABASAMU LA USHINDI KUELEKEA PAMBANO NA SIMBA SC KESHO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top