'TANZANIA ONE' ALLY MUSTAFA 'BARTHEZ' ALIVYOFURAHIA 'KUUWA MNYAMA' JANA UWANJA WA TAIFA
Kipa wa Yanga SC, Ally Mustafa 'Barthez' akifurahia baada ya timu yake kupata bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya timu yake ya zamani, Simba SC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
0 comments:
Post a Comment