• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 27, 2015

  HANS POPPE, MAGORI KATIKA 'POZI LA KICHAPO' CHA YANGA TAIFA

  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (katikati) akiwa na vigogo wengine wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' (kulia) na Crescentius Magori (kushoto) Jumamosi wakati wa mchezo dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga SC ilishinda 2-0
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HANS POPPE, MAGORI KATIKA 'POZI LA KICHAPO' CHA YANGA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top