• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 27, 2015

  HAMISI KIIZA 'DIEGO' ALIPOJISALIMISHA YANGA SC JANA KABLA YA KICHAPO CHA 2-0

  Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza akisalimiana na kocha wake wa zamani, Yanga SC, Hans van der Pluijm kabla ya mchezo wa jana baina ya timu hizo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
  Kiiza akifurahia na Pluijm. Walitumia pia fursa hiyo kutambiana kabla ya mchezo huo
  Kiiza alifurahi sana baada ya majadiliano na Pluijm
  Kocha wa Simba SC, Dylan Kerr akisalimiana na Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa
  Kerr akizungumza na Pluijm

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAMISI KIIZA 'DIEGO' ALIPOJISALIMISHA YANGA SC JANA KABLA YA KICHAPO CHA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top