• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 30, 2015

  VIGUMU KUAMINI, LAKINI HUO NDIYO UKWELI...WANGA, KAVUMBANGU, MESSI WOTE 'WANACHOMA MAHINDI' AZAM FC

  Wachezaji wa akiba wa Azam FC, kutoka kulia Mrundi Didier Kavumbangu, Ramadhani Singano 'Messi', Erasto Nyoni, Mkenya Alan Wanga na Himid Mao. Chini ni kipa Mwadini Ally katika mchezo dhidi ya Mbeya City Jumapili Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VIGUMU KUAMINI, LAKINI HUO NDIYO UKWELI...WANGA, KAVUMBANGU, MESSI WOTE 'WANACHOMA MAHINDI' AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top