• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 22, 2015

  ATAANZA JUMAMOSI DHIDI YA MAHASIMU SIMBA SC UWANJA WA TAIFA?

  Mchezaji ghali zaidi Yanga SC, beki Vincent Bossou (kushoto) akiwa ameketi benchi na kipa Deo Munishi 'Dida' na beki mwingine Pato Ngonyani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwishoni mwa wiki dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambao Yanga ilishinda 4-1. Bossou hajacheza mechi yoyote kati ya tatu za awali tangu kuanza kwa Ligi Kuu na Jumamosi timu hiyo itamenyana na mahasimu wao wa jadi, Simba SC, je Mtogo huyo ataanza siku hiyo?

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ATAANZA JUMAMOSI DHIDI YA MAHASIMU SIMBA SC UWANJA WA TAIFA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top