• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 27, 2015

  PICHA 10 'BOMBA' ZA PAMBANO LA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA SC UWANJA WA TAIFA JANA

  Beki wa Simba SC, Hassan Kessy akimuwekea mguu njiani beki wa Yanga SC, Mwinyi Mngwali katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Yanga SC ilishinda 2-0
  Beki wa Simba SC, Hassan Kessy akimuacha chini mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Malimi Basungu akitoa paso mbele ya beki wa Simba SC, Hassan Isihaka
  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima
  Beki wa Simba SC, Juuko Murushid akiruka guu mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma. Kulia ni Justice Majabvi wa Simba SC na kushoto ni Amissi Tambwe wa Yanga SC
  Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) akimdhibiti kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke
  Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Yanga SC. Kulia ni Mwinyi Mngwali na kushoto ni Thabani Kamusoko na Salum Telela
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma 'akimfunga tela' mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib
  Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan akiondoka na mpira baada ya kumpokonya mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akiwania mpira dhidi ya beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PICHA 10 'BOMBA' ZA PAMBANO LA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA SC UWANJA WA TAIFA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top