• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 28, 2015

  AZAM FC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akiambaa na mpira kumtoka beki wa Mbeya City FC, Christian Sembuli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 2-1
  Mpishi wa mabao yote ya Azam FC jana, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka kiungo wa Mbeya City, Richard Peter
  Mfungaji wa bao la kwanza la Azam FC, Mudathir Yahya akimtoka kiungo wa MCC, Richard Peter
  Mchezaji wa Mbeya City, George Mlawa akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam FC, Farid Mussa
  Nahodha wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor' (kulia) akipambana na wachezaji wa Mbeya City
  Mfungaji wa bao la pili la Azam FC, Kipre Herman Tchetche akimtoka Christian Sembuli

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top