• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 27, 2015

  STURRIDGE APIGA MBILI, LIVERPOOL YAICHAPA 3-2 ASTON VILLA

  Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu yake ikishinda 3-2 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na James Milner wakati ya Villa yalifungwa na Rudy Gestede PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STURRIDGE APIGA MBILI, LIVERPOOL YAICHAPA 3-2 ASTON VILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top