• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 24, 2015

  BENZEMA APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 UGENINI LA LIGA


  Mshambuliaji Karim Benzema akiteleza chini kushangilia baada ya kuifungia mabao yote Real Madrid ikishinda 2-1 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa San Mames. Bao la Bilbao lilifungwa na Sabin Merino PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top