• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 24, 2015

  ...MESSI HOI BARCELONA YATANDIKWA 4-1 NA CELTA VIGO LA LIGA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akionekana mnyonge baada ya timu yake kufungwa na Celta Vigo mabao 4-1 jana usiku mjini Vigo katika mchezo wa La Liga. Mabao ya Celta Vigo yalifungwa na Iago Aspas aliyetemwa Liverpool mawili, Nolito na John Guidetti wakati bao pekee la Barca lilifungwa na Neymar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ...MESSI HOI BARCELONA YATANDIKWA 4-1 NA CELTA VIGO LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top