• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 28, 2015

  KIKAO CHA IDARA KUU YA ULINZI JANGWANI DHIDI YA 'MNYAMA' JUMAMOSI TAIFA

  Safu ya ulinzi ya Yanga SC, kutoka kulia Nahodha, Nadir Haroub 'Cannavaro', Thabani Kamusoko, Mbuyu Twite, Kevin Yondan na Mwinyi Mngwali wakijadiliana wakati wa mapumziko mafupi ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-0 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKAO CHA IDARA KUU YA ULINZI JANGWANI DHIDI YA 'MNYAMA' JUMAMOSI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top